• HABARI MPYA

  Sunday, February 14, 2021

  MAN CITY YAWAPIGA SPURS 3-0 NA KUZIDI KUPAA KILELENI ENGLAND


  NAO Manchester City wameendelea kulikaribia taji la Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham Hotspur jana Uwanja wa Etihad, mabao ya Rodri kwa penalti dakika ya 23, İlkay Gundogan dakika ya 50 na 66.
  Man City wanafikisha pointi 56 baada ya kucheza mechi 23 na kuendelea kuongoza kwa pointi saba zaidi ya Leicester City City wanaofuatia na nane zaidi ya mahasimu wao, Manchester United huku wakiwa wana mechi mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAWAPIGA SPURS 3-0 NA KUZIDI KUPAA KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top