• HABARI MPYA

  Sunday, February 14, 2021

  AC MILAN NA JUVENTUS ZOTE ZAPIGWA SERIE A, INTER UWANJANJI LEO


  TIMU zote zinazoshika nafasi za juu katika Serie A jana hazikushinda, huku vinara AC Milan wakichapwa 2-0 na Spezia baada ya kushinda mechi mbili mfululizo, huku Napoli wakishinda mechi ya kwanza kati ya nne walipoichapa Juventus ya Cristiano Ronaldo 1-0.
  Inter Milan wanaweza kupanda kileleni kama watashinda leo dhidi ya Lazio uwanja wa Giuseppe Meazza Jijini Milan. Kwa sasa AC Milan inaongoza kwa pointi mbili zaidi ya Inter (49-47) ingawa imecheza mechi moja zaidi (22-21) 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AC MILAN NA JUVENTUS ZOTE ZAPIGWA SERIE A, INTER UWANJANJI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top