• HABARI MPYA

  Sunday, February 28, 2021

  SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF

   SIMBA SC itamenyana na Kagera Sugar hapa Dar es Salaam  na Yanga SC itaifuata Tanzania Prisons huko Sumbawanga mkoani Rukwa katika Hatua ya 16 Bora michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA NA KAGERA SUGAR DAR, YANGA SC KUIFUATA TANZANIA PRISONS SUMBAWANGA 16 BORA KOMBE LA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top