• HABARI MPYA

  Friday, February 12, 2021

  MCHEZAJI BORA NA KOCHA BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA MWEZI JANUARI WOTE WATOKA BIASHARA UNITED YA MARA

  KOCHA wa Biashara United ya Mara, Francis Baraza amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Januari wa Ligi Kuu ya Tanzania, wakati mshambuliaji wake, Deogratius Mafie amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi huo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MCHEZAJI BORA NA KOCHA BORA WA LIGI KUU TANZANIA BARA MWEZI JANUARI WOTE WATOKA BIASHARA UNITED YA MARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top