• HABARI MPYA

  Friday, February 05, 2021

  BODI YA LIGI YATOA SEMINA MAALUM KWA WATENDAJI WAKUU WA KLABU ZOTE ZA LIGI KUU TANZANIA BARA

  KATIBU Mkuu wa Yanga SC, Hajji Mfikirwa (kulia) akiwa na Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat'katika Semina ya siku moja ya Watendaji wa Klabu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyoandaliwa na Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) na kufanyika kwenye hoteli ya Tiffany Diamond, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

  Watendaji Wakuu wa klabu mbalimbali za Ligi Kuu wakiwa kwenye Semina

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BODI YA LIGI YATOA SEMINA MAALUM KWA WATENDAJI WAKUU WA KLABU ZOTE ZA LIGI KUU TANZANIA BARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top