• HABARI MPYA

  Jumanne, Februari 02, 2021

  AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA TP MAZEMBE YA DRC KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO CHAMAZI  WENYEJI, Azam FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidrmokrasia ya Kongo (DRC) usiku wa leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
  Azam FC walitangulia kwa kwa lap kiungo Mzimbabwe, Never Tigere dakika ya 69, kabla ya Adam Boso kuisawazishia Mazembe dakika ya 72.
  Mazembe ilikuja Tanzania kwa mwaliko wa Simba SC kushiriki michuano ya Simba Super Cup iliyoishirikisha pia Al Hilal ya Sudan iliyomalizila Jumapili.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AZAM FC YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA TP MAZEMBE YA DRC KATIKA MECHI YA KIRAFIKI LEO CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top