• HABARI MPYA

  Wednesday, February 24, 2021

  GIROUD APIGA BONGE LA BAO CHELSEA YAILAZA ATLETICO MADRID 1-0


  MSHAMBULIAJI Mfaransa, Olivier Giroud jana amefunga bao zuri la tik tak dakika ya 68 akiiwezesha Chelsea kushinda 1-0 dhidi ya Atletico Madrid kwenye mchezo wa kwanza wa Hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Taifa wa Bucharest nchini Romania
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD APIGA BONGE LA BAO CHELSEA YAILAZA ATLETICO MADRID 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top