• HABARI MPYA

  Jumatatu, Februari 22, 2021

  NAMUNGO FC YAPANGWA KUNDI MOJA RAJA CASABLANCA, PYRAMIDS YA MISRI NA NKANA FC KOMBE LA SHIRIKISHO

  TIMU ya Namungo FC ya Ruangwa mkoani Lindi itapangwa Kundi D itafuzu hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika.
  Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa leo na Shirikisho la Soka Afrika (CAF), katika Kundi hilo Namungo itakuwa na Raja Club Athletic ya Morocco, Pyramids FC ya Misri na Nkana FC ya Zambia.


  MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

  KUNDI A

  Enyimba FC 
  ES Sétif 
  Orlando Pirates 
  Ahli Benghazi 

  KUNDI B 
  RS Berkane 
  JS Kabylie 
  Cotonsport 
  NAPSA Stars 

  KUNDI C 
  Etoile Sahel 
  CS Sfaxien 
  Salitas FC 
  ASC Jaraaf 

  KUNDI D 
  Raja Club Athletic 
  Pyramids FC 
  Nkana FC 
  Namungo SC/Primeiro Agosto
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAMUNGO FC YAPANGWA KUNDI MOJA RAJA CASABLANCA, PYRAMIDS YA MISRI NA NKANA FC KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top