MTIBWA SUGAR WAWACHAPA DODOMA JIJI FC MABAO 2-0 KATIKA MCHEZO WA KIRAFIKI MOROGORO
MTIBWA Sugar jana imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC mabao ya George Makang'a dakika ya 30 na Abal Kassim Khamis dakika ya 39 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa CCM Gairo mkoani Morogoro.
0 comments:
Post a Comment