• HABARI MPYA

  Jumapili, Februari 07, 2021

  PSV EINDHOVEN YAICHAPA FC TWENTE 3-0 NA LIGI YA UHOLANZI


  PSV Eindhoven imepunguza pengo la pointi dhidi ya vinara Ajax wanaowakaribisha Utrecht leo baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya FC Twente, mabao ya Donyell Malen mawili na Eran Zahavi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uholanzi, Eredivisie, Uwanja wa Philips jana.
  Sasa PSV inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 21, wakibaki nafasi ya pili, nyuma ya Ajax yenye pointi 50 za mechi 20. 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: PSV EINDHOVEN YAICHAPA FC TWENTE 3-0 NA LIGI YA UHOLANZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top