• HABARI MPYA

  Sunday, February 28, 2021

  LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YASHINDA 5-1


  MSHAMBULIAJI Robert Lewandowski jana amefunga mabao mawili, Bayern Munich ikiibuka na ushindi wa 5-1 dhidi ya FC Cologne katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Allianz Arena Jijini Munich – na sasa wanaongoza kwa ponti mbili zaidi ya RB Leipzig (52-50) baada ya mechi 23 kwa wote.
  Mpoland huyo akifikisha mabao 28 – huku mabao mengine ya Bavarian yakifungwa na Serge Gnabry aliyetokea benchi mawili pia na lingine Eric Maxim Choupo-Moting na la kufutia machozi la Cologne lilifungwa na Ellyes Skhiri 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YASHINDA 5-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top