• HABARI MPYA

  Wednesday, February 03, 2021

  SIMBA SC WAANZIA BUNGENI KABLA YA KUWAVAA DODOMA JIJI FC MECHI YA KIPORO CHA LIGI KUU KESHO


  KIKOSI cha Simba SC tayari kipo Dodoma baada ya kuwasili kwa ndege mapema leo kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kesho dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC.

  Mapema leo kikosi cha Simba kulikuwa Bungeni, ambako walitambulishwa na kuonyesha taji lao la Simba Super Cup walilotwaa Jumapili baada ya kuzizidi Al Hila ya Sudan na TP Mazembe.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WAANZIA BUNGENI KABLA YA KUWAVAA DODOMA JIJI FC MECHI YA KIPORO CHA LIGI KUU KESHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top