• HABARI MPYA

  Wednesday, February 10, 2021

  SIMBA SC WANAVYOIFUATA AS VITA KWA AJILI YA MECHI YA KWANZA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA

  KIKOSI cha wachezaji 27 wa Simba SC kimeondoka Addisa Ababa, Ethioipia asubuhi ya leo kwenda Kinshasa, DRC – baada ya safari iliyonaza jana jioni Dar es Salaam na wanatarajiwa kuwasili leo jioni.


  Simba wanatarajiwa kuwa wageni AS Vita Jumamosi katika mchezo wa kwanza wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia Saa 4:00 usiku Uwanja wa Martyrs de la Pentecote


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC WANAVYOIFUATA AS VITA KWA AJILI YA MECHI YA KWANZA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top