• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 17, 2021

  MANE NA SALAH WOTE WAFUNGA HUNGARY LIVERPOOL YASHINDA 2-0


  MABAO ya Mohamed Salah dakika ya 53 na Sadio Mane dakika ya 58 jana yaliipa Liverpool ushindi wa 2-0 dhidi ya RB Leipzig katika mchezo wa kwanza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Puskas Arena Jijini Budapest, Hungary 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MANE NA SALAH WOTE WAFUNGA HUNGARY LIVERPOOL YASHINDA 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top