• HABARI MPYA

  Monday, February 15, 2021

  MANCHESTER UNITED WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROM


  TIMU ya Manchester United imelazimishwa sare ya 1-1 na West Bromwich Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa The Hawthorns.
  West Ham walitangulia kwa bao la Mbaye Diagne dakika ya pili, kabla ya Bruno Fernandes kuisawazishia United dakika ya 44.
  Manchester United inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 24 katika nafasi ya pili, wakizidiwa pointi saba na vinara, Manchester City ambao pia wana mechi moja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER UNITED WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA WEST BROM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top