• HABARI MPYA

  Thursday, February 04, 2021

  MAN CITY YAZIDI YAICHAPA BURNLEY 2-0 NA KUZIDI KUPAA KILELENI


  MABAO ya Gabriel Jesus dakika ya tatu na Raheem Sterling dakika ya 38 jana yameipa Manchester City ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor – na sasa inaongoza ligi kwa pointi tatu zaidi ya mahasimu wao, Man United (47-44)ambao pia wamecheza mechi zaidi (21,22)
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAZIDI YAICHAPA BURNLEY 2-0 NA KUZIDI KUPAA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top