YANGA SC WAPOTEZA MECHI YA KWANZA TANGU MSIMU UANZE, WAPIGWA 1-0 NA AFRICAN SPORTS CHAMAZI
VIGOGO, Yanga SC jana wamechapwa 1-0 na maswahiba zao Africans Sports ya Tanga inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza katika mchezo wa kirafiki bao pekee la Adam Uledi dakika ya 14 Uwanja wa Azam Complex Chamazi – hiyo ikiwa mechi ya kwanza kupoteza msimu huu.
0 comments:
Post a Comment