• HABARI MPYA

  Wednesday, February 24, 2021

  SERENGETI BOYS YAPANGWA KUNDI MOJA NA ALGERIA, NIGERIA NA KONGO FAINALI ZA AFCON U17 MOROCCO


  TANZANIA Boys imepangwa Kundi B pamoja na Algeria, Kongo na Nigeria katika Fainali za AFCON U17 nchini Morocco Julai mwaka huu.
  Serengeti Boys itafungua dimba na Nigeria Machi 14, kabla ya kumenyana na Algeria Machi 17 na kumaliza na Kongo Machi 20.
  Kundi kuna wenyeji, Morocco, Uganda, Zambia na Ivory Coast, wakati Kundi B kuna Nigeria, Tanzania, Algeria na Kongo na Kundi C wapo mabingwa watetezi, Cameroon, Senegal, Mali na Afrika Kusini.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS YAPANGWA KUNDI MOJA NA ALGERIA, NIGERIA NA KONGO FAINALI ZA AFCON U17 MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top