• HABARI MPYA

  Sunday, February 28, 2021

  MANCHESTER CITY YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-1 ETIHAD


  TIMU ya Manchester City imezidi kujisogeza jirani na ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham United jana Uwanja wa Etihad, hivyo kuongoza ligi hiyo kwa pointi 13 zaidi ya Manchester United wanaofuatia.
  Ushindi huo wa 20 mfululizo kwa kikosi cha Pep Guardiola kwenye mashindano yote ulitokana na mabao ya Ruben Dias dakika ya 30 na John Stones dakika ya 68, huku bao pekee la West Ham likifungwa na Michail Antonio dakika ya 43 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YAICHAPA WEST HAM UNITED 2-1 ETIHAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top