• HABARI MPYA

  Wednesday, February 10, 2021

  MC TOMINAY AIPELEKEA MAN UNITED ROBO FAINALI KOMBE LA FA


  BAO la kiungo Scott McTominay dakika ya 97 akimalizia pasi ya Marcus Rashford jana lilitosha kuipa Manchester United ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Raundi ya Tano (16 Bora) Kombe la FA England Uwanja wa Old Trafford
   
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MC TOMINAY AIPELEKEA MAN UNITED ROBO FAINALI KOMBE LA FA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top