• HABARI MPYA

  Wednesday, February 17, 2021

  JENNIFER BRADY ATINGA NUSU FAINALI AUSTRALIAN OPEN


  MCHEZAJI bora namba 22 duniani, Jennifer Brady ametinga Nusu Fainali ya Australian Open 2021 baada ya kutoka nyuma na kumfunga Mmarekani mwenzake, Jessica Pegula seti 2-1 (4-6, 6-2, 6-1) huko Rod Laver Arena, Melbourne Park, Melbourne.
  Naye mchezaji namba nne duniani, Daniil Medvedev ametinga Nusu Fainali baada ya kumfunga Mrusi mwenzake, Andrey Rublev, mchezaji namba saba kwa seti zote (7-5, 6-3, 6-2) huko Rod Laver Arena, Melbourne Park, Melbourne
   PICHA ZAIDI GONGA HAPA

   


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JENNIFER BRADY ATINGA NUSU FAINALI AUSTRALIAN OPEN Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top