• HABARI MPYA

  Sunday, February 28, 2021

  MESSI, DEMBELE WAFUNGA BARCELONA YASHINDA 2-0 LA LIGA


  TIMU ya Barcelona jana imeshindia 2-0 ugenini dhidi ya Sevilla katika mchezo wa La Liga, mabao ya Ousmane Dembele dakika ya 29 na Lionel Messi dakika ya 85 Uwanja wa Ramon Sanchez Pizjuan, hivyo kupanda nafasi ya pili, ikiizidi pointi moja Real Madrid (53-52), ambayo kesho inacheza na Real Sociedad
    

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI, DEMBELE WAFUNGA BARCELONA YASHINDA 2-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top