• HABARI MPYA

  Sunday, February 14, 2021

  MESSI APIGA MBILI, BARCELONA YASHINDA 5-1 LA LIGA


  NAO FC Barcelona jana wameichapa Deportivo Alaves 5-1 katika La Liga Uwanja wa Camp Nou, mabao yako yakifungwa na Trincao dakika ya 29 na 74, Lionel Messi dakika ya 45 na 75 na Junior Firpo dakika ya 80, huku lawageni likifungwa na Luis Rioja dakika ya 57.
  Barcelona wanafikisha pointi 46 sawa na mahasimu wao, Real Madrid baada ya wote kucheza mechi 22 wakiwa nyuma ya Atletico Madrid inayoongoza kwa pointi zake 54 za mechi 21
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI APIGA MBILI, BARCELONA YASHINDA 5-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top