• HABARI MPYA

  Alhamisi, Februari 04, 2021

  POULSEN APIGA MBILI RB LEIPZIG YASHINDA 4-0 UJERUMANI


  MSHAMBULIAJI Mdenmark mwenye asili ya Tanzania, Yussuf Poulsen jana amefunga mabao mawili RB Leipzig ikiichapa Bochum 4-0 na kutinga Robo Fainali ya Kombe la Ujerumani, DFB-Pokal.
  Leipzig ambayo sasa itakutana na Borussia Dortmund – kwa pamoja hizo ni timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba taji hilo baada ya Bayern Munich kutolewa Raundi ya Pili 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: POULSEN APIGA MBILI RB LEIPZIG YASHINDA 4-0 UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top