• HABARI MPYA

  Friday, February 05, 2021

  SIMBA SC YAINGIA MAKUBALIANO NA WIZARA YA UTALII KUTUMIA NENO VISIT TANZANIA LIGI YA MABINGWA


  MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wameingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii ya kutumia neno ya Visit Tanzania kwenye jezi ambazo watazitumia katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC YAINGIA MAKUBALIANO NA WIZARA YA UTALII KUTUMIA NENO VISIT TANZANIA LIGI YA MABINGWA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top