• HABARI MPYA

  Tuesday, February 09, 2021

  LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA AL AHLY 2-0


  MABAO ya Robert Lewandowski dakika ya 17 na 85 jana yaliwapa  mabingwa wa Ulaya, Bayern Munich uahindi wa 2-0 dhidi ya mabingwa wa Afrika, Al Ahly katika Nusu Fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia Uwanja wa Ahmed bin Ali Jijini Al Rayyan, Qatar.
  Sasa Al Ahly watamenyana na bingwa wa Amerika Kusini, Palmeiras ya Brazil kuwania nafasi ya tatu Saa 12:00 jioni, wakati Bayern Munich itamenyana na bingwa wa Amerika Kaskazini Tigres UANL ya Mexico  katika fainali Saa 3:00 usiku, mechi zote zikipigwa Alhamisi Uwanja wa Education City Jijini Al Rayyan 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LEWANDOWSKI APIGA MBILI BAYERN MUNICH YAICHAPA AL AHLY 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top