• HABARI MPYA

  Saturday, February 27, 2021

  PRINCE DUBE MPUMELELO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBUNI 1-0 NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA TFF

  BAO pekee la mshambuliaji Mzimbabwe Prince Dube Mpumelelo limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbuni FC katika mchezo wa Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.Azam FC sasa itamenyana na Polisi Tanzania iliyoitoa Kwamndolwa FC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PRINCE DUBE MPUMELELO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBUNI 1-0 NA KUTINGA 16 BORA KOMBE LA TFF Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top