• HABARI MPYA

  Jumatatu, Novemba 09, 2020

  TAIFA STARS ILIVYOWASILI UTURUKI KUWEKA KAMBI FUPI KUJIANDAA KUIKABILI TUNISIA AFCON

  Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars baada ya kuwasili Jijini Istanbul nchini Uturuki jana ambako wataweka kambi ya siku tatu kujianda na mchezo wa Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya wenyeji, Tunisia Ijumaa   Timu ya Taifa’Taifa Stars’ imewasili salama Istanbul Uturuki ambako itaweka kambi ya siku tatu kujianda na mchezo wa Kundi J dhidi ya Tunisia wa kufuzu AFCON utakaochezwa Novemba 13 Tunisia @azamtvtz @taifastars_ @wallacekaria @wilfredkidao


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS ILIVYOWASILI UTURUKI KUWEKA KAMBI FUPI KUJIANDAA KUIKABILI TUNISIA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top