NGORONGORO HEROES WAICHAPA SUDAN 2-1 KATIKA MECHI YA KIRAFIKI UWANJA WA AZAM COMPLEX
Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes wakishangilia ushindi wa 2-1 dhidi ya Sudan kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment