• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 10, 2020

  SERENGETI BOYS WAENDA NCHINI MOROCCO KUSHIRIKI MASHINDANO MAALUM YA VIJANA U-17 AFRIKA

  KIKOSI cha timu ya soka ya taifa ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kimeondoka leo Dar es Salaam kwenda Morocco kushiriki mashindano maalum yanayotarajia kuanza leo hadi Novemba 20, mwaka huu 
  Serengeti Boys itashiriki mashindano maalum nchini Morocco yanayotarajia kuanza leo hadi Novemba 20 


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS WAENDA NCHINI MOROCCO KUSHIRIKI MASHINDANO MAALUM YA VIJANA U-17 AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top