• HABARI MPYA

  Jumanne, Novemba 10, 2020

  TAIFA STARS WAKIWA MAZOEZINI KWENYE KAMBI YAO YA UTURUKI KUJIANDAA KUWAVAA TUNISIA IJUMAA

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars beki Mohammed Hussein 'Tshabalala' na kiungo Farid Mussa (kushoto) wakiwa kwenye mazoezi jana katika kambi yao ya Istanbul nchini Uturuki kujiandaa na mchezo wa Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya wenyeji, Tunisia Ijumaa mjini Tunis.


  Kutoka kulia ni kiungo Said Ndemla, beki Bakari Mwamnyeto na winga Simon Msuva

  Kutoka kulia kipa Juma Kaseja, beki Shomari Kapombe na viungo Himid Mao na Deus Kaseke 

  Viungo Feisal Salum (kulia) na Jonas Mkude (kushoto) wakijadiliana na kocha Mrundi, Etienne Ndayiragije


  Wachezaji wa Taifa Stars kwa pamoja wakisikiliza mawaidha ya kocha wao kabla ya mazoezi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS WAKIWA MAZOEZINI KWENYE KAMBI YAO YA UTURUKI KUJIANDAA KUWAVAA TUNISIA IJUMAA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top