• HABARI MPYA

  Jumapili, Novemba 01, 2020

  KYLE WALKER AIFUNGIA BAO PEKEE MAN CITY YASHINDA 1-0


  Kyle Walker akifumua shuti kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 28 akicheza mechi ya 100 ya Ligi Kuu ya England katika ushindi wa 1-0 dhidi ya timu yake ya zamani, Sheffield United Uwanja wa Bramall Lane
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KYLE WALKER AIFUNGIA BAO PEKEE MAN CITY YASHINDA 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top