Mshambuliaji Danny Welbeck akiruka kuifungia kwa kichwa Arsenal bao la kwanza dakika ya sita kabla ya kufunga na la tatu dakika ya 50 kufuatia Alexandre Lacazette kufunga la pili dakika ya 27 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Bournemouth leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup 2026: Cristiano Ronaldo becomes first man to score a goal in six
World Cups
-
Cristiano Ronaldo is still setting records at 41.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment