• HABARI MPYA

  Sunday, September 24, 2017

  YANGA NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA UHURU

  Mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma akipiga shuti mbele ya beki wa Ndanda FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
  Mfungaji wa bao pekee la Yanga jana, Ibrahim Hajib akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Ndanda
  Kiungo wa Yanga, Raphael Daudi akimpita mchezaji wa Ndanda jana 
  Beki wa Yanga, Gardiel Michael (katikati) akimdhibiti mshambuliaji wa Ndanda
  Kikosi chaYanga katika mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
  Kikosi cha Ndanda kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Uhuru
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA NA NDANDA FC KATIKA PICHA JANA UHURU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top