// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); PARKER AMSHINDA KWA POINTI FURY NA KUTETEA TAJI LA WBO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE PARKER AMSHINDA KWA POINTI FURY NA KUTETEA TAJI LA WBO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
 • HABARI MPYA

  Sunday, September 24, 2017

  PARKER AMSHINDA KWA POINTI FURY NA KUTETEA TAJI LA WBO

  Bondia Joseph Parker akifurahia na mkanda wake wa WBO uzito wa juu baada ya kuutetea kufuatia kumshinda Hughie Fury kwa pointi usiku wa jana ukumbi wa Manchester Arena katika pambano la raundi 12. Fury ni mpwa wa bingwa wa zamani wa dunia uzito wa juu kabisa, Tyson Fury ambaye alikuwepo Manchester Arena jana na akaleta fujo akidai kijana wake amedhulumiwa ushindi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PARKER AMSHINDA KWA POINTI FURY NA KUTETEA TAJI LA WBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top