• HABARI MPYA

  Thursday, September 21, 2017

  MSUVA ALIVYOIPIGANIA DIFAA HASSAN EL- JADIDA JANA MOROCCO

  Winga Mtanzania, Simon Msuva, wa Difaa Hassan El-Jadida (kulia) akimtoka mchezaji wa Ittihad Tanger usiku wa jana Uwanja wa Grand Stade de Tanger katika Kombe la FA Morocco uliomalizika kwa sare ya 1-1. Difaa imesonga mbele kwa faida ya bao la ugenini baada ya kutoa sare ya 0-0 nyumbani wiki iliyopita 
  Simon Msuva (kulia) akitoka uwanjani wakati wa mapumziko
  Simon Msuva akiwa kazini jana nchini Morocco
  Simon Msuva (kushoto) akifurahia na wachezaji wenzake baada ya mechi jana
  Wachezaji wa Difaa Hassan El Jadida wakimpongeza mfungaji wa bao lao jana
  Kikosi cha kwanza cha Difaa Hassan El Jadida jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA ALIVYOIPIGANIA DIFAA HASSAN EL- JADIDA JANA MOROCCO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top