• HABARI MPYA

  Friday, September 29, 2017

  WALCOTT AFUNGA MAWILI, ARSENAL YASHINDA 4-2 UGENINI ULAYA

  Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za tisa na 22 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, BATE Borisov kwenye mchezo wa Kundi H Europa League usiku huu Uwanja wa Borisov Arena. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na  Rob Holding dakika ya 25 na Olivier Giroud dakika ya 49 kwa penalti wakati mabao ya BATE yamefungwa na Mirko Ivanic dakika ya 28 na Mikhail Gordelchuk dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WALCOTT AFUNGA MAWILI, ARSENAL YASHINDA 4-2 UGENINI ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top