• HABARI MPYA

  Saturday, September 23, 2017

  LUKAKU AIPA USHINDI WA UGENINI MAN UNITED ENGLAND

  Mshambuliaji Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchestr United dakika ya 20 ikishinda 1-0 ugenini dhidi ya wenyeji, Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St Mary's PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LUKAKU AIPA USHINDI WA UGENINI MAN UNITED ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top