• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 28, 2017

  BARCELONA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA URENO, YAILAZA 1-0 SPORTING

  Fabio Coentrao wa Sporting CP (chini kulia) akiteleza kuondosha mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi kumzuia kufunga katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade mjini Lisbon, Ureno. Hata hivyo, Barcelona ilishinda 1-0, bao pekee la Sebastian Coates aliyejifunga dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BARCELONA YAPATA USHINDI MWEMBAMBA URENO, YAILAZA 1-0 SPORTING Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top