• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 30, 2017

  KANE AFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKISHINDA 4-0 UGENINI

  Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Tottenham Hotspur katika ushindi wa 4-0 leo dhidi ya Huddersfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa The John Smith, Huddersfield, West Yorkshire. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Ben Davies na Moussa Sissoko PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE AFUNGA MABAO MAWILI SPURS IKISHINDA 4-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top