• HABARI MPYA

  Wednesday, September 27, 2017

  MAN CITY YASHINDA 2-0 NYUMBANI DHIDI YA SHAKHTAR

  Winga wa Manchester City, Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 90 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Shakhtar Donetsk usiku wa jana Uwanja wa Etihad kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la kwanza la City lilifungwa na Kevin de Bruyne dakika ya 48, wakati Sergio Aguero alikosa penalti iliyookolewa na kipa Andriy Pyatov dakika ya 72 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YASHINDA 2-0 NYUMBANI DHIDI YA SHAKHTAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top