• HABARI MPYA

  Alhamisi, Septemba 28, 2017

  DIMITRI OBERLIN APIGA MBILI BASLE YAIKUNG'UTA 5-0 BENFICA

  Dimitri Oberlin (kulia) akiifungia Benfica moja ya mabao yake mawili jana katika ushindi wa 5-0 dhidi ya FC Basle kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa eSt. Jakob-Park mjini Basel. Oberlin alifunga dakika za 20 na 69, wakati mabao mengine yalifungwa na Michael Lang dakika ya pili, Ricky van Wolfswinkel kwa penalti dakika ya 59 na Blas Riveros dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIMITRI OBERLIN APIGA MBILI BASLE YAIKUNG'UTA 5-0 BENFICA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top