• HABARI MPYA

  Monday, September 25, 2017

  RONALDO NDANI REAL SAFARINI UJERUMANI KUWAFUATA DORTMUND

  Wachezaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo na Raphael Varane wakiwa kwenye ndege kwenda Ujerumani kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Borussia Dortmund kesho PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO NDANI REAL SAFARINI UJERUMANI KUWAFUATA DORTMUND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top