Mshambuliaji Romelu Lukaku (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Ashley Young baada ya kufunga mabao mawili dakika za nne na 26 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, CSKA Moscow kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa VEB Arena mjini Moscow. Anthony Martial alifunga bao la pili dakika ya 18 kwa penalti baada ya Henrikh Mkhitaryan aliyefunga bao la nne dakika ya 57 kuchezewa rafu kwenye boksi na la nne wakati bao la wenyeji, lilifungwa na Konstantin Kuchaev dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
I am ready to prove my innocence, EeZee Tee tells court
-
By Lukman Olabiyi Music producer Ezekiel Onyedikachi, popularly known as
EeZee Tee, on Monday affirmed his readiness to prove his innocence in the
fraudu...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment