• HABARI MPYA

  Wednesday, September 27, 2017

  COUTINHO AINUSURU LIVERPOOL KUGONGWA NA SPARTAK MOSCOW

  Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza mwenzao, Philippe Coutinho baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika ya 32 katika sare ya 1-1 na wenyeji, Spartak Moscow kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Otkrytiye Arena mjini Moskva. Spartak Moscow walitangulia kwa bao la Fernando dakika ya 23, kabla ya refa kukataa bao la Sadio Mane dakika mbili baadaye akidai alikuwa amezidi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: COUTINHO AINUSURU LIVERPOOL KUGONGWA NA SPARTAK MOSCOW Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top