Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' (kulia) akiwa na Wajumbe wapya wa Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, Profesa Juma Athumani Kapuya (katikati) na Abdulaziz Mohammed Mudhihir (kushoto) jana Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kufuatilia mchezo dhidi ya Mwadui FC ambao timu yao ilishinda 3-0
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago


.png)
0 comments:
Post a Comment