• HABARI MPYA

  Thursday, September 28, 2017

  BATSHUAYI AIFUNGIA LA USHINDI CHELSEA DAKIKA YA MWISHO YAILAZA 2-1 ATLETICO MADRID

  Michy Batshuayi (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Chelsea dakika ya 90 na ushei wakiwalaza 2-1 wenyeji, Atletico Madrid katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania. Antoine Griezmann alianza kuwafungia wenyeji kwa penalti dakika ya 4-, baada ya beki David Luiz kumvuta jezi Lucas kwenye boksi, kabla ya Alvaro Morata kuisawazishia The Blues dakika ya 59 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BATSHUAYI AIFUNGIA LA USHINDI CHELSEA DAKIKA YA MWISHO YAILAZA 2-1 ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top