• HABARI MPYA

  Thursday, September 21, 2017

  RONALDO AKOSA BAO LA WAZI, REAL YAPIGWA 1-0 BERNABEU

  Cristiano Ronaldo akipiga nje na kukosa bao la wazi akiwa amebaki yeye na kipa wa Real Betis baada ya krosi nzuri ya  Gareth Bale katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Bernabeu, Real Madrid ikifungwa 1-0 bao pekee la Antonio Sanabria dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AKOSA BAO LA WAZI, REAL YAPIGWA 1-0 BERNABEU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top