• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 27, 2017

  KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YASHINDA 3-0 UGENINI

  Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane (kulia) akikimbia kushangilia baada ya kukamiklisha hat trick yake kutokana na mabao yake ya dakika za 39, 62 na 67 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, APOEL kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Neo GSP mjini Nicosia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KANE APIGA HAT TRICK, SPURS YASHINDA 3-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top