• HABARI MPYA

  Tuesday, September 19, 2017

  SAMATTA AKIPASHIA MECHI YA KOMBE LA UBELGIJI KESHO UGENINI

  Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akifanya mazoezi ya kuimarisha misuli yake kwenye gym jana kujiandaa na mchezo wa kesho wa Kombe la Ubelgiji baina ya timu yake, KRC Genk na wenyeji, Cercle Bruggee Uwanja wa Le Canonnier mjini Mouscron
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAMATTA AKIPASHIA MECHI YA KOMBE LA UBELGIJI KESHO UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top